TASWIRA NDANI YA CHUO.
Wanachuo ambao hawajapata vyumba mpaka leo hii wakiwa katika ofisi ya WARDEN BLOCK 11 wakidai haki yao ya kupewa makazi
SWALI LA KUJIULIZA Je! Watapunguziwa gharama kwani ni wiki tatu zimepita tangu wafike chuoni hapa. Picha na mpiga picha wetu.


No comments:
Post a Comment