Wednesday, January 19, 2011

slaa bwana



Exclamation Dk. Slaa: Kikwete ajiuzulu • Asisitiza anahusika na Dowans, aahidi kutoboa siri

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Wilibrod Slaa, sasa amekuja na hoja mpya ya kumtaka Rais Jakaya Kikwete ajiuzulu kutokana na kuhusika moja kwa moja na sakata la Dowans iliyorithi mikoba ya Richmond. Dk. Slaa ametoa kauli hiyo nzito jana katika mahojiano maalumu na Tanzania Daima Jumatano, ikiwa ni siku moja baada ya Ikulu kutoa taarifa ya kejeli na vijembe vya mitaani dhidi yake kuhusu sakata hilo.
Akizungumza kwa utulivu na umakini mkubwa, Dk. Slaa alisema 
Rais Kikwete alipaswa kujiuzulu kabla ya aliyekuwa Waziri Mkuu na swahiba wake mkubwa, Edward Lowasa, kuchukua hatua hiyo Februari 7, mwaka 2008, mjini Dodoma.
Mawaziri wengine waliojiuzulu kutokana na sakata la Richmond lililozua mjadala mkali nchini ni pamoja na aliyekuwa Waziri wa Nishati na Madini wakati huo, Nazir Karamagi na Ibrahim Msabaha ambaye alikuwa waziri wa wizara hiyo kabla ya kuhamishiwa Wizara ya Ushirikiano wa Afrika Mashariki (EAC).
Akitoa ufafanuzi wa taarifa ya Ikulu iliyotolewa juzi na Kurugenzi ya Mawasiliano, Dk. Slaa alisema mkuu huyo wa nchi hawezi kukwepa kuhusishwa na sakata la Dowans, kwani alilijua hata kabla mitambo yake haijaingizwa nchini.
"Nataka niwatoe Watanzania wasiwasi kwamba ingawa kurugenzi ya mawasiliano imetoa taarifa ya kumsafisha Rais Kikwete na kunikashifu mimi kwa lugha ya mtaani, nawaambia alipaswa kujiuzulu kabla na anatakiwa ajiuzulu sasa, kwani anahusika moja kwa moja na uingiaji wa mkataba wa Kampuni ya Richmond na baadaye na Dowans"� alisema Dk. Slaa.
Alimtaka Rais Kikwete kutambua kuwa hawezi kukaa kimya kwa kisingizio cha kuhatarisha amani na utulivu wakati wananchi wanaibiwa mabilioni ya fedha na mafisadi wachache kupitia kampuni feki ya Dowans.
Akirejea historia ya vita dhidi ya ufisadi aliyoiasisi bungeni, Dk. Slaa aliwataka wananchi wakumbuke kuwa taifa lilipokumbwa na tatizo la umeme kabla ya mitambo ya Richmond kuingia nchini, Rais Kikwete alikwenda Marekani kwa ziara ya kikazi.
Alisema aliporejea nchini, alizungumza na waandishi wa habari kuhusu tatizo hilo na kuahidi kuwa serikali yake inalifanyia kazi na siku chache baadaye, rafiki yake wa karibu, Rostam Azizi, Mbunge wa Igunga (CCM), naye alikwenda Marekani.
"Rostam aliporejea kutoka Marekani baada ya siku chache tukaanza kusikia mitambo ya kuzalisha umeme wa dharura kutoka Kampuni ya Richmond inatarajiwa kuwasili. Kweli ilitua nchini katika Uwanja wa Mwalimu Nyerere na shughuli nyingine zilifungwa uwanjani hapo kupisha ushushaji wa mitambo ya Richmond"
� alisema Dk. Slaa.
Huku akisisitiza kuwa ana ushahidi wa anachokisema, Dk. Slaa alisema hata baada ya Richmond kushindwa kuzalisha umeme na kusababisha mawaziri kujiuzulu, serikali ya Kikwete iliamua kuingia mkataba na Dowans iliyorithi shughuli za Richmond na hatua hiyo Rais Kikwete pia aliijua.
"Dowans nayo ikashindwa kuzalisha umeme, mwisho Bunge katika moja ya maazimio yake liliridhia uamuzi wa kuvunja mkataba huo, lakini leo Serikali inadaiwa fidia ya sh bilioni 185, je, Rais Kikwete anaweza kukwepa kwamba hana mkono wake hapo? � alihoji.
Kutokana na hayo, Dk. Slaa alimtaka Rais Kikwete amtaje mmiliki halali wa Dowans ili kuwatoa kiu Watanzania wanaohitaji kumjua.
"Sitaacha kuzungumzia masuala yanayowagusa Watanzania na mali, hasa katika kipindi hiki ambacho Watanzania wanataka kuibiwa fedha zao, wakati wa kukaa kimya umekwisha"� alisema Dk. Slaa.
Alisema hashangazwi na kejeli za Ikulu na kuwataka Watanzania kukumbuka alipoanza kuwalipua mafisadi, Rais Kikwete aliwahi kutamka kwamba kelele za mlango haziwezi kumnyima mwenye nyumba usingizi na kamwe kelele za chura hazimzuii ng ombe kunywa maji.
"Lakini baada ya sisi kuamua kupambana na Richmond, Rais Kikwete alikiri linamnyima usingizi na hili la Dowans litamnyima usingizi zaidi katika kipindi hiki cha mwisho cha uongozi wake"
� alisema Dk. Slaa.
Ili kumaliza kelele za Dowans, Dk. Slaa alimtaka Rais Kikwete kumtaja mmiliki wake ambaye anataka kuwaibia Watanzania mabilioni ya fedha.
Wakati Dk. Slaa akimkaba koo Rais Kikwete, mjadala wa Dowans hivi sasa umewavuruga hata viongozi wa serikali tangu ilipoamriwa ilipwe sh bilioni 185.
Aliyekuwa Spika wa Bunge lililopita, Samuel Sitta, hivi karibuni alikaririwa akiitaka serikali iache kuilipa Dowans kwa madai kuwa ni mradi wa mafisadi watatu.
Kauli hiyo ilipingwa na Waziri Mkuu, Mizengo Pinda, ambaye alisema kuwa suala la malipo ya Dowans lipo kisheria na ikithibitika serikali haiwezi kukata rufaa, italazimika kulipa mabilioni hayo.
Juzi Kurugenzi ya Mawasiliano Ikulu imeelezea kukerwa kwake na hatua ya Dk. Slaa kumtaja Rais Kikwete kuwa alihusika katika uzembe uliosababisha taifa kutakiwa kuilipa Kampuni ya Dowans sh bilioni 185 kama fidia.
Taarifa hiyo kali ya Ikulu iliyobeba ujumbe wenye maneno ya kebehi na ya mitaani ya kumwita Dk. Slaa mtu aliyechanganyikiwa na 
mzabinazabina ilisainiwa na Salvatory Rweyemamu, ambaye kabla ya kwenda Ikulu alikuwa mmoja wa wahariri watendaji, aliyekuwa akiheshimika kwa kutumia lugha fasaha na ya staha.
Rweyemamu katika taarifa yake hiyo iliyoonyesha waziwazi kuandikwa na mtu mwenye hasira, chuki na dharau ama kwa Dk. Slaa, CHADEMA na Tanzania Daima, alikwenda mbali na kumwita kiongozi huyo wa kisiasa kuwa ni mtu hatari.
Katika mahojiano maalumu na gazeti la Tanzania Daima Jumapili, mwishoni mwa wiki, Dk. Slaa alikaririwa akisema chanzo cha suala la Dowans kutakiwa kulipwa fidia limetokana na uzembe wa serikali na Rais Kikwete mwenyewe anahusika kuileta Kampuni ya Richmond ambayo baada ya kuonekana ya kitapeli iliamua kurithisha kazi zake kwa Dowans.


chanzo:

Tuesday, January 11, 2011

ada

FEES STRUCTURE FOR 2010/11
UNDERGRADUATE PROGRAMMES
CONTINUING STUDENTS
A: DIRECT UNIVERSITY COSTS (PAYABLE TO THE UNIVERSITY)
COST ITEM LOCAL
(TAS)
FOREIGN
(US $)
Tuition Fee (See Clusters below) * *
Registration 5,000 10
Examination Fee 20,000 20
Accommodation
· All programmes (252 days)
126,000 1,260
· School of Medicine (308 days) 154,000 1,540
TOTAL DIRECT COSTS (2-3 YEARS)
151,000(252DAYS)
179,000(308DAYS)
1,290
1,570
* Tuition fees arranged in cluster below.
TUITION FEES
CLUSTERS
TUITION FEE PER YEAR
DISCIPLINE/PROGRAMMES CLUSTER
LOCAL (TAS) FOREIGN (US $)
1 700,000 750 · Programmes in the School of Education (except
Education with Science programmes; see cluster 4)
2 800,000 850 · Programmes in the School of Humanities and
Social Sciences (except Economics & Business
related programmes)
3 1,000,000 1,200 · Degree Programmes in Economics & Business
related studies
4 1,200,000 1,500 Programmes in the School of Informatics
Degree programmes in Education with Science
Programmes in the School of Natural Sciences
Evening BBA degree programme
5 1,500,000 2,000 Engineering degree programmes
Degree programmes in Nursing
Law
6 1,800,000 3,000 Medicine
7 950,000
700,000
1,000
800
Diploma in Computer Science
Certificate in Computer Science
1 | P a g e
B: DIRECT STUDENT COSTS (PAYABLE DIRECTLY TO STUDENTS)*
COST ITEM LOCAL
(TAS)
FOREIGN
(US $)
Caution Money 20,000 25
Student Union 5,000 5
Stationery Allowance 100,000 120
Book Allowance 150,000 175
Meal and Accommodation
Allowance
5,000 per day+ 10
* The figures that are published by the University from time to time are only
indicative, and sponsors may consider increasing stipends paid to candidates as they
see fit.
+ Total number of days for academic year 2010/11 is 252 for continuing students and
259 for first year students (7 days extra being the period for orientation). Thus, for
continuing students, meal and accommodation amounts to TAS 1,260,000, and for
first year students, the total amount is TAS 1,295,000. Note that for first year
Medicine & Nursing students the total number of days is 315 and continuing students
it is 308 days.
C: BANKING INFORMATION
Payments should be made to the following accounts:
BENEFICIARY: University of Dodoma
BANKER: CRDB PLC, University of Dodoma Branch
DIRECT COSTS: A/C 01J108 3343 300
TUITION FEE: A/C 01J108 2344 900
SWIFT CODE: CORU TZTZ
2 | P a g e

herreo

A HERO
 In the legendary times of legends there were a country called Cholbon. Cholbon was a large and richest nation on the face of the earth and her people lived in peace and harmony. Her land was fertile and suitable for any kind of crops. Actually, Cholbon people regarded themselves as the blessed and luckiest people in the world.
  Suddenly, things turned upside down! A small tribe outside Cholbon emerged and became much powerful than her! The tribe invaded and overthrew Cholbon’s power and glory. They formed a country called Han.
  Together with Cholbon, many surrounding nations were invaded and became Hans territory. But one country remained untouched, the country was called Buyeo.
  During the war, many Cholbon men died and those who escaped dearth became migrants and slaves of Han. They were whipped and humiliated. Han became the powerful nation in the world as Cholbon disappeared in the world map.
  Among few warriors of Cholbon who escaped dearth, was a man called Haemosu! He was a great warrior and master of archers, he was a highly respected man and HERO.
  Haemosu planned a Great mission of rescuing migrants to restore the glory of Cholbon. Together with few migrants who believed and decided to follow him, he formulated and became the commander of Dae Mool Army and started guerrilla war with Han.
  Geumwa was a prince of Buyeo and best friend of Haemossu since childhood. Prince Geumwa agreed to help Commander Haemossu in rescuing the migrants and rebuilding the lost nation. Both Prince Geumwa and Commander Haemossu became Great Comrades.
  Commander Haemossu became a bitter storm and great enemy of Han for so long. Many of the Han warriors were killed and the rescued migrants were joining Dae Mool Army.
  Fearing of being invaded by Han for supporting Commander Haemossu, the Emperor and prime minister of  Buyeo plotted a plan of killing him without Geumwa’s concern. Though they failed to kill him, but their plans half succeeded because Commander Haemossu fell into Han’s hands who severely tortured him, removed his eyes and finally locked up in Buyeo’s secret jail for life imprisonment. Twenty years later, the two princes of Emperor Geumwa (Prince Taeso and Prince Youngpo) killed him following the order given by the Prime minister and offered his head to Han in exchange for salt!
  General Jumong was a son of Commander Haemossu who realized the Great mission of his father, rescued the migrants and established a powerful and richest nation down the sun. the nation was called Goguryeo. (END OF NARRATION)
  Though he died a miserable death, Haemossu  was a Hero.
  Because she was not invaded by Han, Buyeo country was a Winner.
  Because they defeated Cholbon, Han country was a Winner.
  Because Buyeo’s Emperor managed to stop Haemossu’s mission, he became a Winner.
  Because the two princes killed Haemossu, they became Winners.
  Because he fulfilled the Great mission of his father, Jumong was a Hero.
  Heroes may or may not finish their missions by themselves, they may get expelled or even killed without fulfilling their goals but to be fulfilled by another Hero, BUT 
  Winners always fulfill their missions by themselves.
  Heroes may not recognized themselves as being Heroes, its because of the great things they do that make people treat them as Heroes. BUT  winners do.
  Heroes live according to their CHARACTER. They are less concerned about things like prestige though they deserve prestige, live a normal life though they are famous, they relate to people, they reach out people, they listen to people, they serve people. BUT
  Winners live according to their REPUTATION. They drive their lives in a show like style, they may not deserve prestige but they live prestigious life, they may not be famous but they live famous life, they may be poor but pretend to live luxurious life, they stay away from people and like classes.
  Heroes FEAR, they are less words and sometimes feel shy. They afraid to start a fight but once started, NO ONE can stop them until they fulfill their mission BUT Winners are COWARD, they are much talkative, good in campaigning and easy to start a fight but at the middle of the fight they afraid and may run away without fulfilling their mission. (FEAR means afraid to start, COWARD means afraid to continue.)
  Heroes play a fair game, they are competent, conscious, coordinated, committed, cooperate with people, and follow systematic ways to fulfill their missions BUT
  Winners play a rough game, they may use any method whether legal or illegal, whether fair play or forgery just to win the game.
  Heroes are recognized during the game BUT Winners are recognized at the end of the game.
  Winners play a planned game with rules and regulations already formulated, they are highly protected and at the end of the game they are proudly rewarded BUT
  Heroes formulate their own paths, follow their own rules and regulations and face unprotected dangers and at the end of the game they may be rewarded or rejected.
  Heroes’ happiness stays forever. They struggle once to fulfill their mission BUT
  Winners’ happiness is short lived. They became happy when they win and when another competition come, they struggle again to become winners.
  At the beginning, Heroes are rejected and may look insane or crazy in the eyes of the community, a catalyst who want to destroy the society but in the long run he is greatly accepted, receives many hello and become a cornerstone of the society’s success. BUT
  Winners are accepted early in the beginning , calmly welcomed with clapped hands but may be rejected in the long run and carry names of insane or crazy who betrayed the society.
   Heroes challenge things, ask why, look for unusual solutions to ordinary problems and ordinary solutions for unusual problems. They believe that there is no absolutely (hundred percent) right and wrong answers in life, but some answers come closer to be ‘truthful’  than others BUT Winners  seem not to be bothered by those, they only focus on their goals.
   Winners are always studying, they know nothing extra rather than MG, AF,LW,CE and DS. BUT Heroes seem to know all those and something more, they join clubs and student associations, they read magazines, newspapers and listen to current news about national and global matters.
  Heroes are always separated from the people they love, and sometimes they may end up on loosing them just for the sake of protecting and defending something they believe is right. BUT Winners  are too soft hearted, they cant bear loosing their beloved ones just for the sake of  winning the game.
  People neither wish nor plan to be Heroes, they find themselves being heroes without even realizing themselves. These are extraordinary people who are born as normal people, live with people but suddenly change into being extraordinary ones. BUT
  Winners wish to be. These are just ordinary people who make plans and decide to dedicate their lives in artificially extraordinary way and end up on being artificially extraordinary people.
  The war of the Winner is the war to WIN. They use all of their skills just to win the battle regardless of the cost incurred and the loss generated from such a war, and when they win they celebrate for success. BUT
  The war of the Hero is the war to DEFEAT. To him, winning the game is not a priority but just the outcome. “You are not defeated until you accept defeat as a reality and stop going on” that’s how Heroes believe. They may loose the game but always difficult to accept such a loss as a defeat.
  Winners make decisions that resemble people’s expectations, they do exactly with what people expected but excellently than what they expected. In other words, winners are those who go beyond people’s expectations but in the same direction. BUT
  Heroes go quite oppositely from what people expected, they count alphabetically when people expected them to write numerically, they laugh and make an extra move when people expected them to cry and quit the journey, they defeat fear and decide to launch an attack when people expected them to join the enemy, they make a shout when people expected them to remain silence.
  Winners have a lot of friends. Many are good friends but many are bad friends as well, many want to help him so that he can be a winner again and again but also many want to discover the secret of  his success so that they can defeat him and take over the chance. As they pass in the streets people smile at them, as they say hello to them, they get countless orders of  welcome home/room please” BUT
  Heroes seem to be isolated from all those. They have few friends and sometimes no friends at all except themselves. They are surrounded with countless number of enemies everywhere, people who he/she believed the most run away from him/her saying “we don’t know this Man/Woman!” , as they pass in the streets people laugh at them, as they say hello to them, they get countless words of  “go away you looser!”
 When you make friendships with Winners you invite recognition and famousness for the time being but NOTHING in the long run. BUT When you make friendships with Heroes you invite troubles and sacrifices for the time being but respect and honor in the long run.
  Heroes are dangerous people who should never show up themselves until the time tells, these are RARE people who appear once after a long time have passed just to fulfill something left undone or correct the mistakes done.
   Always learn to be a hero because all heroes end of being WINNERS but not all winners end of being HEROES.
 BY; REUBEN GERALD NYAISSA. (0757463981).


    

hero

JamiiForums |The Home of Great Thinkers - JamiiForums.com 


Wizi na uwongo, ni ujanja nilorithi kutoka kwa ***** yangu mimi, vyote mkagundua, mkaona silingani kabisa kuwaongoza.
Na kama haitoshi, mkakata kabisa na shina la mabango yangu mimi, eti kisa wizi, mkaona bora mniache mimi muende upinzani.
Naskia hivi sasa wote mpo chadema, mnatupa kadi za ccm na mnakuwa wa chama fulani, iliniuma sana, sana.
Naskia hivi sasa wote mpo chadema, mnatupa kadi za ccm na mnakuwa wa chama fulani, iliniuma sana, iliniuma sana, sana.
Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.
Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.

Mngejua jinsi gani, machozi niliyolia kwa uchungu wa kura zenu nyinyi, mwenzenu jinsi gani, vile nimeumia moyoni. Hata jukwaa sitamani, utamu wa usanii mwenzenu imekula kwangu mimi, mwenzenu sina hamu, hata raha ya ikulu mi sioni.
Naskia hivi sasa wote hamnitaki, vile mkikaa hata mkiongea, mmeungana sana, sanaa. Mi mwenzenu Slaa huyu mi sina hamu, tena nna mpango wa kuongea na shimbo, nataka aende mbali, nijiepushe na kero zake mi mwenzenu siwezi.

Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.
Tatizo huyo Dr Slaa, Mara Epa mara madini, tatizo huyo Dr Slaa, mkaona uongozi siuwezi.
The Dreamer is online now